Karibu MNYALU CANVAS
COMPANY – wataalamu wa utengenezaji na uuzaji wa turubai za ubora wa hali ya
juu.
Je, unahitaji turubai
imara kwa gari lako, hema za matukio, au vivuli vya garden?
Usijali… sisi tunazo
suluhisho zote.
Tunatengeneza turubai za
magari,
hema za matukio aina zote,
na tent kubwa kwa mikutano
na sherehe.
Pia tunafanya marekebisho
ya turubai,
na kutengeneza seat cover
za magari kwa ustadi na ubora wa hali ya juu.
Zaidi ya hayo, tunauza
turubai mpya, belts, kamba, gundi, na vifaa mbalimbali vinavyohusiana na
turubai.
Tutembelee Jangwani, Dar
es Salaam.
Kwa mawasiliano:
WhatsApp +255 765 388 703
Piga +255 719 370 430
Instagram, Facebook na
TikTok: Mnyalu Canvas
MNYALU CANVAS COMPANY –
Ubora wa turubai ni kazi yetu.

No comments:
Post a Comment