JUMUIKA NASI/ LETS CONNECT HERE

```html

Wasiliana na Mnyalu Canvas

Wataalamu wa utengenezaji wa turubai za magari, hema za matukio, seat cover za magari na vifaa mbalimbali vya turubai.

Mnyalu Canvas Company

Tunatengeneza turubai za magari, hema za matukio, seat cover, vivuli vya garden, pamoja na uuzaji wa turubai na vifaa vinavyohusiana na turubai. Karibu kutembelea ofisi yetu au wasiliana nasi kupitia simu, WhatsApp au mitandao ya kijamii.

```

Sunday, 31 May 2026

FAHAMU KUHUSU SISI NA HUDUMA ZETU

 


Karibu MNYALU CANVAS COMPANY – wataalamu wa utengenezaji na uuzaji wa turubai za ubora wa hali ya juu.

 

Je, unahitaji turubai imara kwa gari lako, hema za matukio, au vivuli vya garden?

Usijali… sisi tunazo suluhisho zote.

 

Tunatengeneza turubai za magari,

hema za matukio aina zote,

na tent kubwa kwa mikutano na sherehe.

 

Pia tunafanya marekebisho ya turubai,

na kutengeneza seat cover za magari kwa ustadi na ubora wa hali ya juu.

 

Zaidi ya hayo, tunauza turubai mpya, belts, kamba, gundi, na vifaa mbalimbali vinavyohusiana na turubai.

 

Tutembelee Jangwani, Dar es Salaam.

 

Kwa mawasiliano:

WhatsApp +255 765 388 703

Piga +255 719 370 430

 

Instagram, Facebook na TikTok: Mnyalu Canvas

 

MNYALU CANVAS COMPANY – Ubora wa turubai ni kazi yetu.